Kiswahili

  

CHAMA CHA KISWAHILI

Wapenzi wenzangu wa lugha ya Kiswahili , walimu na wanafunzi wanaokienzi Kiswahili nawasalimu hamjambo?Ningependa kuwanasihi wanagenzi wenzangu kuasi lugha ya “sheng”.Lugha hii potovu ya mtaani , Kiswahili cha barabrani tuwawachie wahuni .Tuzingatie utu bora kwa kuzungumza  lugha safi yenye mpangilio mufti wa kisarufi na tena  yenye adabu na iliyosheheni uhondo wa kutamka .tusidhubutu kutamka lugha finyu zilizosheheni msamiati mchafu usioheshimu umri wala tajriba. Kumbukeni kwamba vinywa vyetu ni vyumba vya maneno nani heri kujikwa dole kuliko kujikwa ulimi. Tutie hadhari na lugha tunayoitumia, tuwe wapenzi wa Kiswahili, waliokamilika katika ungwana na utu bora.KISWAHILI KITUKUZWE!

Shukrani. 

Lubanga Carlos

Mwenyekiti,

Chama  cha Kiswahili.

 

Fees Structure

FEES STRUCTURE 2018 

download Doc Format

download PDF Format

read more

Home

 

     

 

     

 

 

 

       

read more